ONE ON ONE NA TOMMY T KE & PAPA ZUCCH

AFRICAN MASHUP 98.8 FM - Un pódcast de BANANA REPUBLIC

Categorías:

Mahojiano ya moja kwa moja na wasanii wawili tajika. Tommy T Ke ni mtaalamu wa nyimbo za bongo naye Papa zucch anafanya nyimbo za Hiphop. Pata kusikiliza kazi yao mpya pamoja na malengo yao kwenye sanaa.